Mpenzi wangu ananiomba mchezo ambao siyo

hili nalo unahitaji ushauri!!?

au tuambie tu ukweli kuwa umeshafumuliwa marinda,we mwenyewe unajua madhara ya mchezo huo halafu unajipinda kuandika thread ya ushauri kuhusu huo upuuzi..

MPE TU SASA,,HAKUNA MADHARA YOYOTE,,,,,🙁🙁
 
Mkuu ulishajaribu nini?
 
Wanaume wa sasa wanapenda sana hio michezo tena wanaiendekeza, kuwa na msimamo binti husijiharibu kisa tu unampenda Hyu kaka, huyo atakufumua malinda na atakuacha hapo sasa n bora uachwe ukiwa hujafumuliwa kuliko kuachwa ukiwa umeshafumuliwa.
 
Kweli huwezi mwomba mwanamke unayempenda mlango wa nyuma.

 
Kweli huwezi mwomba mwanamke unayempenda mlango wa nyuma.

 
thread za namna hii zina wachangiaji wengi na wote wakemeaji, watu wanaalikana waje kuchangia, wanajua mambo ya pampas, kupoga chafya, kuzaa kwa kisu, hebu gomeeni huu uzi kama mko serious
 
Sorry madam ,ila kweli pamoja na kumpenda hapo hamna kitu tena vunja mahusiano, anza kuiambia akili yako kuwa sasa fulani (him) ndo siko nae tena....ukweli hamna Mungu ktk mambo ya kufirana, Utaharibu maisha yako, baraka zote alizokupa Mungu zitatoweka na atalaani hadi uzao wako.. Nje ya Mungu hakuna love, hakikisha mambo yako yote yawe yanakubalika kwa Mungu... mwache huyo hata akijifanya kabadilika ila attempt zake kadhaa za kujaribu kunako tayari ni ishara kuwa hawezi ishi bila fanya hivyo.
 
Hakuna dhambi mbaya kama hiyo ya kuachia tigo. Utalaanika. Ukienda kujifungua unaachia kote. Mwache kabisa huyo anayekuomba hiyo. Mwache kabisa. Hata akitaka kukurudia usikubali KABISA !
 
Unanipa hasira yaani mimi nikushauri kufanya uo ushetani na mimi si nitaonekana shetani afu ata aibu huna wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…