Mpenzi wangu ananiomba mchezo ambao siyo

Unampenda but yeye hakupendi coz angekua anakupenda asingeweza kuomba hicho alichoomba ushaur wangu achana nae huyo man hakufai!
 
Kumbuka mumeo anakuombea kwa MUNGU huko ulipo ujitunze na ww utamuomba MUNGU akujalie muwe mwema mwanaume anayekupenda na kukuheshimu hawezi kukuomba Tigo aise.... Akili kichwani.
 
Kama hupendi tafuta ambae haombi mchezo huo usioutaka
 
Single penetration will result into Multiple manifestatiion, Hata shetani atakukimbia. Binafsi hata unipe mihela kiasi gani, bado sijakupa hiyo huduma.
 
Hakuna mkosi kama kufilwa au kufira......kama wataka jaribu uone utakavyo pambana na mikosi......pole yako na mikosi.
 
Kwa hiyo avatar yako ndio maana kaomba huo mchezo sio!
 
Huyo Dada muongo sana kwenye thread za nyuma kasema kaolewa anampenda shemeji yake. Halafu anakuja anasema yupo hosteli anamuita boyfriend wake ampe joto utakuja tena uongo gani tena maana toka ujiunge jf inaonekana upo speed kubwa kutafuta likes.
 
kama hutaki kumkosa si ndo umpe starehe yake, unaweza kuta mwenzio huko unakompa hata kichuguu hapandi kazi wewe tu kupanda kilimanjaro mara nne
 
071....../065..... ni hatar kwa afya syo kila kitu tukionacho kwa tv na sim zetu lazma tufanye na sisi
Amka tanzania
 

Wale huwa wanaflash njia kabla ya!..
 
Mawazo yako tu kwanza Dada unawaza ngono mda wote,mi Nina neno moja tu mwanamke asipotumia akili vizuri chini ndo kunaumia ,usiku mwema ukikua utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…