Mpenzi wangu ananiomba Nimnyoe nywele za.......

Hahahahaha oyeee kulamba kubaya utamlamba mkweo aliyekuzalia ......
 



nimeipenda hii upo juu saana
 
Ushauri wko mzuri lakini umejaa kashfa,matusi sasa cjui nachukua ushauri au matusi?
Chukua ushauri matusi niachie mwenyewe. ila sorry umeniuzi sana ila all in all badilika mapenzi yanataka mambo meng na ukitaka kuya mudu basi usiwe na kinyaa maana mapenz ni uchafu
 
Jamani hapa mwenzenu pananipa wakati mgumu naomba msaada wenu mwenye uzoefu huu anisaidie.yani kila nywele zikikua ananiomba nimnyoe napiga chenga visingzio kibao mpaka anarekebisha mwenyewe ss icje nikakimbiwa kwa kutotimiza hayo.
Ushauri tafadhari.
kwani mnafahamiana kwa kiasi gani? kama ni bwana asifiwe mwache mpaka siku ya Ndoa la sivyo utakuwa mtego kwako
 
hapo umenena mkuu, mwenyewe unapojinyoa unajikatakata, sasa huyo anyolewe anatafuta majeraha...???
 
Oyaaa hebu mwache shemeji nywele zikue halafu mlete kwangu, nimnyoe mnyoo wa punky au new style....tena unanyoa unajifanya umemkata akilia unabembeleza kwa ulimi laini, will end up with what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…