Mpenzi wangu ananipa romance nzuri ila hataki kunipa penzi

Yan jamaa mpk unaingiza kichwa halaf unaacha tena hzo kelele ni maigizo tu man
 
We selemani kwanini unaikurubia zinaa? Mvumilie bint wa watu bwana kama kweli unampenda kampose uchukue kihalal
 
Unahitaji kupimwa mkojo wewe
 
Khaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe unajua kama ni dhambi hiyo, aliona jamaa mzembe ndomana hataki tena kurudi lodge
alijua hata wakirudi atamchezea amuache na genye zake tu
 
Mwenye jina km lako ktk bibilia aliweza kumiliki wanawake 1000 na aliwagegeda ipqsavyo, inakuwake we unakuwa mzembe kias hicho
 
bado hujawa mwanaume wewe....mwanaume haonyeshwi uchi kike daima......keshakujua wewe kavulana kadogo huwezi kitu........kwanza bado unakaa na wazazi.......wacha zinaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…