Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 821
Hali ndio zinazonipunguzia confidence ila naamini ananipenda swali linalozunguka kichwani mwangu ni je ataweza kukwepa mitego ya noti?
Kwa hadithi hii inaonyesha wewe bado mtoto mdogo, hivi kwanini umeamua kujiingiza kwenye masuala ya mapenzi?????
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu ilitokea nilifanya mambo mengi ya kishujaa kwa msichana ambaye nipo nae hadi sasa.Nashukuru MUNGU kwa kujitoa kwangu kufanya mema kwa huyu msichana ikambidi anieleze kuwa nastaili kuwa mpenzi wake kitu ambacho sijawahi kuota.Huyu msichana kwa kweli ni mzuri sana pia ni mlokole mkatoliki.Uzuri wake umekuwa gumzo machoni na midomoni mwa watu.
Kilichonisibu kuandika ni hivi:Huyu binti hana bahati ya kutongozwa na watu wa hali chini labda wengi wao wanamtania ila watu wenye pesa wanamzonga sana mpenzi wangu japokuwa ananieleza nisihofu atayashinda majaribu na mbaya zaidi imefikia hatua hata ndugu zake wa kiume kumtongoza jambo ambalo linanitisha.Bado ni mwanachuo ila huko nako malecturez and staffs wa pale chuo wanamsumbua kwa kasi mno juzjuzi kaanda sherehe ya birthdei wamekuja watu wenye mausafiri ya gharama na zimetolewa zawadi za kutisha hadi moyo wangu umeingia hofu.Namshukuru mpenzi wng kwa kunitambulisha kama mtu wake mbele ya umati ule lakini BADO KICHWA CHANGU KINALOAD SANA NAHISI HAYA MAHUSIANO YATAENDA KUNICHACHIA HUKO MBELE YA SAFARI kwa maana najiuliza ataweza kuruka vikwazo vya hawa watu wenye hela kushinda mimi mpenzi wake.KWA KWELI NATUMIA ENERGY NYINGI KULEA PENZI LANGU HUWA NATAMANI HATA NINGEMPATA ZOMBIE MWENZANGU NISINGEKUWA NA HOFU KAMA HII.Nisaidieni nitumie technique gan kumlea huyu mtoto ambae naona sio hadhi yangu hadi wazazi wangu wanaoneshwa kuwa na hofu nae kutokana uzuri wake umekuwa exeption sana.
kaka yangu huwezi kumwamin m2 kama wewe mwenyewe hujiamini.anza kwa kujiamini mwenyewe then itakua rahisi kumwamini mwenzio.sisi wanawake 2naamini wote ni wazuri ndo mana 2natongozwa na 2napenda wanaume wanaojiamin hata kama ni mpaka rangi au muuza mihogo kikubwa ni kujiamin kwake.
acha mbwembwe kijana hakuna dem mzuri kiivo mpaka, mapedezee, malecturer, raia. ndugu, nk wote wamtolee macho yeye kawa malaika, sema demu wako mawenge mengi anatolea macho wanaume thats why wanamsumbua, we kama unaona huwezi kummantain wacha raia wamalizane nae, asikudanganye mtu madem asilimia 90 wanamabwana zaidi ya wawili, wake up youngster.
khaa!kumbe weye zombie?? Kama vipi change title maana wewe ndo utakua wamtisha mpenzi wako!!
bint wa chuo anakutana vipi na watu wenye mausafiri ya bei ghali hata mm ningehofu yaani mpaka uwaalike watu fulani kwenye bday yako ni mpaka wawe kwenye network yako tafakari chukua hatua
Nilifikiri wewe ndio uliandaa hiyo birthday! pole sasa kwa kujikausha unajua kila kitu...kwamba unaibiwa, kutambulishwa ndio nini...umeniudhi kwa kujifanya hujui kinachoendelea.