Mpenzi wangu ananitisha nisaidieni..

Tehe tehe nilikuwa nimenuna umenichekesha vp nimekugusa nini? Mi sio zombie ila sina mahela ya kutosha ndio maana nina hofu vanila plz help me usinibeze

aku hujanigusa popote maana hata mie unantisha!!
Hyo birthday inatosha tu kukuonyesha huyo mtu wako ni wa aina gani.hao wenye hela zao walijuaje kama ni bday yake kama hakuwaalika? Shtuka acha kuwashikia pembe wenzio.
 

Billie pole kwa yote ambayo unayapitia hususan kwenye msononeko wa moyo unaokunyima amani na furaha kwenye mahusiano yako. Inaelekea mpenzio ni mrembo kwelikweli na ndo linalokunyima raha. Lakini kama yeye mwenyewe kashakuambia usijali inabidi ujikaze kiume na ukubaliane naye na juu ya yote umuamini. na kumuamini huko uanze wewe mwenyewe kujiamini na kubadilisha mindset yako. ukishaweza hii basi wala hutakuwa na tabu. hao wenye pesa na mali nyingi wala wasikubabaishe wanataka tu kumchezea mdada wa watu. lakini pia it all lies with your girlfriend if she really cares and loves you she will stay true to you and not otherwise despite the ukabwela situation you have ingawa siamini kama you are that bad angalau mahitaji muhimu unayamudu.

Jikaze kiume na furahia maisha sio ukae ukisononeka kila siku maisha yenyewe mafupi haya unaweza uka-kanumba (RIP) anaytime anywhere. all the best.
 
mhu, kasheshe ,, mapenz s uzur wala sipesa ,, umuhimu n tabia sio uzur wa sura ,pole kaka ,sasa ww unataka uzur wa huyo mwanamke au kitu gani? usijizalilishe bro ,ikiwa anakupenda huyo basi ata kuekea heshima hatojali ww uk tajir au maskin ,, na ikiwa yy sijui mlokole au whtever s ana iman ya kidin ?sasa ww mtizame hapo ,mazali unampenda endelea kumpenda ,chunga heshima yako , na kama yy anakupenda pia basi hatojali ivyo vzawadi uchwara ,kila kitu kina muda wake sio. s ata tumia then vitapotea, dont stressout yr self ,, pole sana ,, wangapi walikuweko na walikuwa wazur wanafutwa mpaka na kuku ,ila wameptea kwa kuzani kama ule uzur utakuwa image yao ya milele ,usipende mtu kwa muonekano wake ,penda mtu kwa roho yake na tabia yake ,samahani kama nitakukwanza but nahisi tuna saidiana mawazo best f luck
 
Asante JS kwa kunijaza moyo MUNGU akubaliki kwa kutambua hili ni tatizo nitajitahidi kuongeza ujasili ili niwe na confidence za kutosha
 

asante sana wahida kwakunitia moyo ni kweli kabisa moyo wangu una hofu hadi nafikilia bora tuachane ili nitafute wa size yangu najiona kama mtu anaemiliki mali isiyo ya hadhi yake
 



duhh...umeconclude vp kuwa yeye ni mzuri sana wa kutisha?
vgezo gan umetumia?uenda wewe ndo wamuona mzuri wakat wenzako wanamuona wa kawaidaaaaaaaaaaaaa....EBU ELEZEA LABDA YUKOJE YUKOJE nipate picha japo ya uyo cleopatra wako:A S 41:
 
duhh...umeconclude vp kuwa yeye ni mzuri sana wa kutisha?
vgezo gan umetumia?uenda wewe ndo wamuona mzuri wakat wenzako wanamuona wa kawaidaaaaaaaaaaaaa....EBU ELEZEA LABDA YUKOJE YUKOJE nipate picha japo ya uyo cleopatra wako:A S 41:

ningetamani nikuoneshe picha ili ujionee kuelezea itanighalimu sana anyway ni ainafulani ya msichana mweupe sana mwenye umbo zuri sana ana sura ya utulivu na ka sauti kake kama vile anadeka kumbe ndo alivyo.Pia ana macho ya kizungu fulan kwa kifupi ni shombeshombe wa kizungu{UINGELEZA} nikitaja chuo anachosoma watu wanaweza kumfahamu kwa kuwa anakainfluence ka kuawafanya watu wamfahamu.Yaani ni aina fulani ya msichana ambae akipita mahali mara nyingi watu wanacease for a while nakumtazama anajitambua alivyo na ndio maaana kila avaacho kinampendeza ila ni mpole na pia mtaratibu ana heshima sana japokuwa wengine wanasema analinga kwa kuwa sio muongeaji sana la mwisho ni kuwa anamtambua MUNGU.
 

cha kufanya ni kujiamini kuwa unauwezo wa kuwanae,ukianza kuonesha wasisi ata yeye ataona ufai kuwa nae,unajua wanawake wanapenda wanaume wanaojiamini,ata kama we ni maskini jaribu kujiamini kuwa unaweza, kwani kama unakupenda kweli utaona.
 
duu ndo maana upo unsecure haya yote unayaona kwa mtu mmoja tu, au umecombie na za wengine,

halafu usiwasemee wenzio eti wakimuona wanacease, unacease peke yako dia
 
Mangi kweli umempa promo shemeji unasema ni mzuri mpaka unapata wasiwasi,Kwa nini sasa unapata hofu,Na hao mausafiri yaliyokuja kwenye sherehe yake nani aliwajulisha wote kuwa yye anaparty siku hiyo?
Usitie shaka we mpe uhuru ila mwambie ahakikishe hata ikitokea anfanya chochote na yyte we usijue tu.
 
billie ,mbona moga sana, ww usijali huyo wak .lakin usijisress mtu wangu ok cooldown
 
Ndugu Billie,
Mapenzi huhitaji investment ya imani; kwa kiwango gani, ni wewe mwenyewe utaamua. Ila kumbuka, hakuna katikati. It is either unajiamini, unamwamini au hujiamini au humwamini.

Ukiwa na imani wholly, basi unayaacha mengineyo mikononi mwa Mungu na fate, maana huwezi kusoma tweeter ya moyoni. Pana fupa la kifua ambalo huwezi jua yaliyomo ndani ya moyo wa mwingine.

Ukiamua kutojiamini na kumwamini, then chagua bega. Jitoe katika hiyo relationship viishe.
Lasivyo, unakaribisha wivu , brain concussion , na hata msongo. Kila saa utakosa amani.

Mwisho kabisa, uzuri ni relative ! ( nisaidieni tafsiri hapo).
Unachokiona wewe kizuuri saana mwingine kwake kawaida au hata ni hasi.

Nawasilisha.
 
Presha zote za nini.
Kama unaona sio size yako achana nae.
Tafuta wa size yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…