Mpenzi wangu ananiwinda kama mhalifu

Mpenzi wangu ananiwinda kama mhalifu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu,

Hali imekua mbaya sana. Shemeji yenu amefikia critical point yaani ananisaka kwa kila mbinu. Ikipita saa tu atauliza UKO WAPI?

Sasa kwani ndio nimekua mateka wake au? Maana hata sielewi ni kama nipo kifungoni.
 
Sasa kuulizwa upo wap kuna tatizo gan? Mda mwingne anaitaji kujua kama upo salama tu au anakuwa bored anatafta mtu wa kumpa kampani ila ajui akuanzaje, Siku nyingine akikuuliza hiv mjibu ulipo alaf anzisha story we mpe ata umbea wa kutunga tu uone atakavyo furahi
 
Kuna Jambo baya ulifanya kusababishaa wifi awe ivyo si bure..
Mwambie apunguze mawindo anakukosesha amani.
 
Sasa kuulizwa upo wap kuna tatizo gan? Mda mwingne anaitaji kujua kama upo salama tu au anakuwa bored anatafta mtu wa kumpa kampani ila ajui akuanzaje, Siku nyingine akikuuliza hiv mjibu ulipo alaf anzisha story we mpe ata umbea wa kutunga tu uone atakavyo furahi
Kila saa uko wapi uko wapi aah.
 
Hiyo ni kawaida kwa penzi jipya mkuu,hata kama mna miezi miwili or mitatu bado hilo ni penzi jipya,wewe mjibu tu uko kwenye foleni hata kama uko mahala unakata vyombo atafurahi na kukupa pole maisha yatasonga ,ila tambua hayo ni ya muda tu
 
Sas ndio utufungulie thread kwel?? Au waja hapa kuturusha roho akina sie tusio kuwa na uwakika kam tupo single ama tupo ktk mahusiano yasiyoeleweka yanahusiana na nini, yaan inaweza pita week hatujatafutwa bt we don't mind the fucken biznes of our lovers....

Mkipendwa mpendekee jmn mnataka mpewe nn??

Nikajua ni watu wasiojulknana kumbe upumbavu
 
swali la uko wapi? kwa mwanamke linampa salama ya moyo wake hata ukimjibu kwa kumdanganya tu anaridhika, muda mwingine huwa anatamani wa kupiga naye stori sasa huwa anataka kupata uhakika kama uko eneo zuri au haujabanwa na kazi, maana hilo swali la uko wapi huwa linaambata na unafanya nini? ni kweli kwa mwanaume haya maswali yanakera ila ukimjibu mhusika huwa yanampa relief ya moyo wake.
 
Huyo sio anakulinda ww hapana anajilinda asije kukamatwa kwa maaana anakuuliza upo wapi ili yeye apate nafasi ya kutoa kitumbua analinginisha umbali uliokuwapo na mazingila halisi be care unaiibiwa
 
huyo hajapata mchepuko ni mwaminifu sana ngoja apate wa kukusaidia majujumu hizo msg za sasa wewe ndio utakuwa unazituma kwake mda huo.
 
Sas ndio utufungulie thread kwel?? Au waja hapa kuturusha roho akina sie tusio kuwa na uwakika kam tupo single ama tupo ktk mahusiano yasiyoeleweka yanahusiana na nini, yaan inaweza pita week hatujatafutwa bt we don't mind the fucken biznes of our lovers....

Mkipendwa mpendekee jmn mnataka mpewe nn??

Nikajua ni watu wasiojulknana kumbe upumbavu
🤣🤣🤣Ila kweli Kuna nyakati unakuwa hujijui Kama uko single au unadate
 
Back
Top Bottom