Mpenzi wangu anapenda kucheka, nifanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Doh, najuta kutoa email yangu

Maana ndio mvua za maswali kama haya,

Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu

Money Penny: Tatizo gani?

Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu.

Money penny: uweee, sasa utafanyaje?

Kijana: naona hata aibu kumpeleka Kwa familia yangu, na familia yangu walivyo serious mambo ya kuchekacheka hawana

Money Penny: Kwani dada anachekajs Huyo?

Kijana: We Acha tu, hata Mimi siwezi muigizia, sijui nafanyaje

Money Penny: mmekaa kwenye mahusiano Miaka mingapi??

Kijana: miezi 3

Haya wale wenye Sura zao spesho muje mumpe msaada kijana ya watu
 
Akianza kujichekesha ampe denda la kifaransa hadi alegee kisha ampelekee moto.
 
Back
Top Bottom