Mpenzi wangu anapenda ngono sana

dali kimoko

Senior Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
114
Reaction score
139
Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu?

Je kuna haja ya kuendelea na mtu kama huyu?
 

Kwa hiyo unataka ushauri gani?

1. Tukupe mbinu za kuongeza kipato ili 120,000/= usiione kubwa?

2. Tukupe mbinu za kupunguza hayo matumizi?

3. Tukushauri uachane na mchepuko?

4. Tukwambie piga chini mke, oa mchepuko ili kuondoa gharama?
 
Yaaani sisi tukuelekeze njia rahisi ya kufanya ngono, wewe ukafanye ngono huko alafuuu tugawane dhambi, maaana ukimshauri mtu akazini ww ulietoa ushauri nawe unapewa dhambi za uzinifu,
 
Wikiendi 4 katika mwezi, yaani kila wikiendi jamaa anaenda kupata utamu kwa mcheps...

Buku 30 ni pesa ya lodge, chips yai mishikaki na maji kubwaaa ya baridi...๐Ÿ˜Š
Huyu anataka utamu huku akipunguza matumizi

Basi afanye once per month ๐Ÿค—

Au aache kabisa ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Huyu anataka utamu huku akipunguza matumizi

Basi afanye once per month ๐Ÿค—

Au aache kabisa ๐Ÿƒ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ

Kuacha hataki huyu ndio maana kaleta uzi...kashalamba asali sasa anataka afunzwe kujenga mzinga ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ