Yeye mwenyewe mpenzi wako msimamo wake ni upi?
Ye anataka kutoa?
Ungejua nimeisha mlamba,hata ucngejitapa huku jf.
Wewe utatoa?
Ye anataka kutoa?
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo.
Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani.
Nimemshauri aachane nae na kuangalia utaratibu mwingine.
Mue makini dada zangu kwa hili.
Labda tu kama alieniomba ni . . . . . . !!
Labda tu kama alieniomba ni . . . . . . !!
Meib akufutiwa na huyo bos..ila nje ya hapo lazima angetoa kigoziMpaka ametokea kua muwazi kunishirikisha maana yake amechukizwa na hayupo tayari.