Snipperkilungu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 253
- 424
kwahyo ultaka mwenzio akapigwe mvua ya miaka 30?? unaongea kama hujui umuhim wa alichokifanya.Angalia usije ukaozea segerea kwa kuua, mnaanzaje kufanya hayo mambo kama hamjui chochote?
Hujasema ni vidonge gani umempa? amemezaje? mimba ni ya muda gani?
All in all hicho kitendo umefanya sio kizuri utakuja kuua watoto wa watu.
Mimi sina cha kukusaidia hapa asee ngoja tuwasubiri wajuzi.
eeeh akapigwe tu hiyo mvua, kwani wakati anamtongoza na na kwenda kujuana nae tena bila kinga alikua anadhani analima mpunga avune mpunga...[emoji20][emoji20][emoji20]kwahyo ultaka mwenzio akapigwe mvua ya miaka 30?? unaongea kama hujui umuhim wa alichokifanya.
Mkuu umepima kama hukumpa na kaukimwi?? Ni kamimba tu???Habari za sahizi wana jamvi ningependa mnifahamishe nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha sita sasa yeye ameniambia aitaji kuzaa tukashauriana tuitoe sasa amekwenda duka la dawa akaanunua vidonge akavitumia kama alivyo elekezwa damu imtoka kidigi sana
Swali je ni baada ya muda gani utagundua kama mimba imetoka au raha na ata ukipima inaonyeshe kama kama imetoka naombeni msaada waungwana maana naogopa kwenda kuozea segerea
Kwann aje, we si ndo unamwambia cha kufanya mtumie msg tu!Njoo PM nikwambie kitu cha kufanya
Habari za sahizi wana jamvi ningependa mnifahamishe nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha sita sasa yeye ameniambia aitaji kuzaa tukashauriana tuitoe sasa amekwenda duka la dawa akaanunua vidonge akavitumia kama alivyo elekezwa damu imtoka kidigi sana
Swali je ni baada ya muda gani utagundua kama mimba imetoka au raha na ata ukipima inaonyeshe kama kama imetoka naombeni msaada waungwana maana naogopa kwenda kuozea segerea
pole sana mkuuHabari za sahizi wana jamvi ningependa mnifahamishe nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha sita sasa yeye ameniambia aitaji kuzaa tukashauriana tuitoe sasa amekwenda duka la dawa akaanunua vidonge akavitumia kama alivyo elekezwa damu imtoka kidigi sana
Swali je ni baada ya muda gani utagundua kama mimba imetoka au raha na ata ukipima inaonyeshe kama kama imetoka naombeni msaada waungwana maana naogopa kwenda kuozea segerea
Mkuu aliniambia kapewa vidonge vinne viwiki kanywa viwili kaweka kwenye k sasa ninachotaka kujua kama imetika au badoMkuu umepima kama hukumpa na kaukimwi?? Ni kamimba tu???
Sasa vidonge alivyopewa kuna vya kumeza n vingine vya kiweka kwenye K
Akikosea kuweka mimba haitoki,,
Kama mimba ni kubw pia haitoki
Si njia salama sanaaaaa! Ama si salama kabisa mana inaweza kuharibu mimba ila akabaki na uchafu
Mwambie aende hosp ,, atapata hiyo huduma huko
Nyie mnaomcheka na kuponda aliyee msafi kabis arudi tena kumsema mtoa post