Mpenzi wangu bar-maid

Mpenzi wangu bar-maid

Kijana Mpole99

New Member
Joined
May 9, 2021
Posts
3
Reaction score
5
Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢

Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)

Nishaurini jmn....😟😟
 
😂😂😂 mbunye siyo mali yako pekee yako, btw una mpango gani naye?
 
Ni miezi 5 sasa tangh niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢

Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar,club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA ,japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)

Nishaurini jmn....😟😟
Nakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...
Over....😎
 
Nakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...
Over....😎
Kwanza nani kakushauri umshawishi akupende wakati wewe hauna hela ,unaenda kula hela za wame wenzio
 
Ni club gani hiyo na demu wako anaitwa nani ili nikamshauri?
 
Nakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...
Over....😎
Huo ni mtizamo potofu!!ina maana kila bar maid, ana ngoma?mbona hata watu walioko kwenye ndoa siku hizi ndiko kwenye maambukizi makubwa tu?!bora hata kwa bar maid asilimia kubwa watu wanaogopa hivyo wanatumia kinga, lakini kwa wake za watu asilimia kubwa wana gongwa kavu kavu tu, kwa kuhisi wao ni salama!!!

Kijana anasimamia kucha kabisa, na wanawake walivyo na sauti ndogo inapofikia kwenye matumizi ya kinga, hata huwa sielewi!!bwana siku moja nimejiandaa na kinga mfukoni kabisa, kwani yule mama nilikuwa namuheshimu sana, kwani ndio alinianza kiutani utani tu!!siku hiyo tuko faraga bado tunafanyiana mambo ya kizungu, mala hapa mala pale, mimi nilikuja kushituka, aliisha idumbukiza kunako!!kutoa cwezi mawazo kibao, nikasema potelea mbali!!daaa baada ya kurudi home niliwaza mno, ila nashukuru nilipokwenda kupima niko good!!KUUZA MECHI NI HATARI KWA AKILI YAKO.
 
Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...[emoji22]

Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)

Nishaurini jmn....[emoji45][emoji45]
Mapenzi hayachagui.. kwani Bar maid sio watu?
 
Kama ni wakutoka Manyara na yupo wilaya ya Kinondoni DSM sijui kama amenipita
 
Back
Top Bottom