Kijana Mpole99
New Member
- May 9, 2021
- 3
- 5
Nakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...Ni miezi 5 sasa tangh niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...π’
Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar,club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA ,japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)
Nishaurini jmn....ππ
Kwanza nani kakushauri umshawishi akupende wakati wewe hauna hela ,unaenda kula hela za wame wenzioNakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...
Over....π
Mzee baba mimi sio muanzisha thread πππ³Kwanza nani kakushauri umshawishi akupende wakati wewe hauna hela ,unaenda kula hela za wame wenzio
Huo ni mtizamo potofu!!ina maana kila bar maid, ana ngoma?mbona hata watu walioko kwenye ndoa siku hizi ndiko kwenye maambukizi makubwa tu?!bora hata kwa bar maid asilimia kubwa watu wanaogopa hivyo wanatumia kinga, lakini kwa wake za watu asilimia kubwa wana gongwa kavu kavu tu, kwa kuhisi wao ni salama!!!Nakushauri nenda Angaza kapime kijana na uanze kutumia tablets taratibu maake umeisha...
Over....π
Mapenzi hayachagui.. kwani Bar maid sio watu?Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...[emoji22]
Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi)
Nishaurini jmn....[emoji45][emoji45]