KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Aaaaaaaarrgh kumbe chuchu?? I thought hana ile pepo ya dunia kama iyo ipo no problem endelea tu unataka chuchu ili ukamue maziwa au?
weka picha mkuuMa dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Mkuu sa mtoto atanyonya nini?!
Mkuu sa mtoto atanyonya nini?!
unataka za nini
Mkuu una maana hana kile kinachotoa maziwa ya mtoto au ni huo mfuko wa kutengeneza hayo maziwa. Hapa nimebaki njia panda ya Himo, moshi-arusha.Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Mdau anataka kunyonya
anyonye zake
Mkuu sa mtoto atanyonya nini?!