Mpenzi wangu hana chuchu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
 
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!

Angalia Tu Mkuu Unaweza Ukasema Kuwa Una Mpenzi Kumbe Una Jini Bila Ya Wewe Kujijua. Hebu Mfanyie Tathmini Upya Na Kwa Uangalifu!
 
Aaaaaaaarrgh kumbe chuchu?? I thought hana ile pepo ya dunia kama iyo ipo no problem endelea tu unataka chuchu ili ukamue maziwa au?
 
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
weka picha mkuu
 
Itakuwa kabadilisha jinsia..USHAWAHI KUZINI NAE
 
Ushamkagua down there??..usije ukawa unatatua tatizo dogo wakati kuna kubwa zaidi ya hilo
 
Ma dr nipeni dawa, mpenzi wangu ambaye huenda nikamuoa hana chuchu kabisi, yani yupo flat kabisa, yani hata zangu zimetuna kiasi, je atumie dawa gani?!
Mkuu una maana hana kile kinachotoa maziwa ya mtoto au ni huo mfuko wa kutengeneza hayo maziwa. Hapa nimebaki njia panda ya Himo, moshi-arusha.
 
Mkuu hebu weka picha yake hapa nione hicho kifua ili nikupe ushauri.
 
Mbona wapo wengi wa aina hiyo. Hormones za kutoa chuchu zina matatizo. Usihofu hiyo ndio kazi ya mungu wapo wengi wanavilema lakini uwezi kuwajua wakiwa barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…