Mpenzi wangu hana majibu mazuri, nimeamua kuachana naye

Mpenzi wangu hana majibu mazuri, nimeamua kuachana naye

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Yaaan naandika huu uzi huku niki fikiria hawa viumbe sijui wakoje kwa kweli wanawake hawanifikirii mara mbili mbili midomo yao ndio inawaomgoza.

Yaan kuna dem alionesha kuvutiwa na mimi nikasema sio mbaya wacha nimtokee maaan mimi sio mtu wa totoz saan kweli mambo yakatiki ni mwaka sasa ila sijasex nae Zero IQ utanisamee .

Me sikumpenda ila ni tamaa tuu tatizo lake bwana wakati mnachati unaweza mwambia kitu anajibu ok,saw mpaka namuuliza nakukera anasema hapana yaan hana majibu mazuri kabisa anakera mno mpaka sometimes sijibu text namwambia nilipitiwa na usingizi.

Nikaamua kumkalia kimya leo rasmi nimevunja mkataba wa kazi ya kanisa isitoshe mtu mwenyewe shape kama namba 9 ninamsitiri tuu alafu anajikuta keki
KANIBOA SANA .

SORRY KWA UANDISHI MBAYA VUMILIENI TU.

Ahsanten kwa kucomment nilikua najaribu kama naweza kuandika story hahahaha

1621078731413.png
 
Ungempenda na yeye angekupenda na kukujibu vizuri, tatizo lilianzia kwako.
 
Mwanamke mwaka mzima hujamtafuna unataka akuheshimu si anakuona mtoto siyo riziki
 
Binti akinijibu P AU K...nasema bora aseme nilitaka tu kumchezeaaa 🤣 😅
 
Mkuu usijifanye hujui sababu....

Wewe demu mwaka mzima hujala mzigo,, na unasema demu alikuwa anakukubali.. Wewe unafikiri aendelee kujibu sms ndefu ili agundue nini..!????

Sex huwa ni kama update hvi kwenye mahusiano.. Sasa anaona huna jipya na ukizingatia kama na hela ulikuwa hutoi ndio imeisha hio..

Ukweli ni kuwa, Wewe unaona umemuangusha, ila mwenzako umekuta ameshalala chini kitambo
 
Kumwaaaacha mwanamke bila kuumlaaaa ni kosa kubwa la kimtandao mwanamke unamgonga na kumuachaa
 
Pole sana yani hakuna kitu inauma kama kutema kazi wakati hujapokea hata mshahara wa mwezi mmoja.
 
Wewe ndio looser kwenye hilo game, mwaka mzima haumpendi ni tamaa tu au ulitaka kuoa sasa unatoa sumu..pole sana, kingine kama mwanamke akujibu vizuri, muulize nini shida kama umemkwaza na anakupenda atakuambia ikiwa ni kweli mnaongea yanaisha, sasa hvyo utaacha wangapi blaza au bado upo kwenye age ya kuhangaika na k mpya kila siku, tulizana
 
Back
Top Bottom