Mpenzi wangu hana majibu mazuri, nimeamua kuachana naye

Nahisi wewe ulimpenda...

Ila yeye hakuwa na time na wewe na ndio maana mwaka umekatika hata chupi hujachungulia 🤣🤣🤣🤣🤣

Afu ni mpenzi wako kwa mantiki ipi?
 
Kwaiyo wewe unavutia..unatokea mkoa gani vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…