Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

Mleta mada anaomba ufafanuzi
 
kira siku zinavyo zidi kukatika ndio wamaume tunazidi kuisha na kubaki wavulana

anyway

katiba mpya ni sasa
wenye nchi ni wananchi
simba guvu moja
 
Kuna mawili aidha ufuate njia yake ama ufuate yako.. Mapenzi ni furaha na mawasiliano kama hivyo viwili vinapatikana kwa manati chapa lapa usije kufa kwa stress
 
Ukiona Hufanyiwi wewe Kuna mwenzio mpaka Anayaona kero huko anatafuta wa kumpunguzia.
 
Pole sana jitahidi kuongea naye kwa kina ujue mbichi na mbivu maana mhusika mwenyewe ndiye anayeweza kukupa jibu sahihi.
 
Comment murua KABISA,
Yna2 Soma hapa, venossah kafafanua vizur kabisa
 
Daah brother ujue hadi naogopa upendo gani wa design hiyo. Cha ajabu haniombi pesa yeye anataka tuwe tu wote
Fantasy HARAKA,
Bonge la wife material uyo, utakutana na wadangaji mizinga iyo utakimbia mwnyw.
 
These days most girls hasa hasa hao wa 20 something hua wana mabwana 3.
1. Sponsor wa kugharamia life yake
2. Sharobaro wa kuuza nae sura
3. Jamaa anaempenda kindakindaki
Hapo mkuu jiulize uko wapi kati yao wote hapo.
 
Akupigie mara tatu,mara akuonee wivu nawakati huo asimamie biàshara zake ,mara kuagiza mzigo mara kupiga mahesabu,ni ngumu kwakweli
 
Unataka mpaka upigiwe tarumbeta au kigodoro ndo uelewe?
 
Kwanini ulazimishe mapenzi ni bora ukacheze amapiano uongeze siku za kuishi, hapo hakuna mapenzi, she is not attracted to you!
 
Acha kumlisha matango pori mkulungwa, huyo demu wake hataki kutafutwa usiku na hapendi ata kutakiana usiku mwema, acheni unafiki.
 
Tatizo unamlinganisha na mademu zako au wa wengine.
 
She is 22 hasomi, yupo home since 2018 after completing form 4, I am 27, nampenda sana





Sawa bhana kwaiyo ii ndo story yenu fupi.naona binti bado wa moto shtuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…