Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

Ningekua nauwezo nisinge penda mimi[emoji29] hawa wanawake wamekua wakitaka maslai yao tu,, kaka huyo sio mwanamke anaweza kuja kuua hata mtoto wako

Maamuzi magumu saingne ni mazuri mchane ukweli ukiona aeleweki achana nae
 
Si kweli,lakin mmeamini ivo
 
Kabla hujafanya uamuzi wowote au kufata ushauri wowote hapa Jf naona bora kwanza ukae na mtoto wako. Muulize maswali kama anampenda huyo mwenza wako anaonaje kama utamuowa atafurahi au laa. Pia muulize kama ameshawahi kukerwa na kufanyishwa kitu hakukipenda na huyo mwenza wako. Mtoto kutumwa na mkubwa wake ni jambo la kawaida pia miaka 8 kiswahili anatakiwa ajifunze mambo ya mapishi kidogo dogo kwahio kutumwa sio kudhalilisha bali kumtuma nje ya uwezo wake hio ni udhalilishaji. Narudia tena kaa na mtoto wako muulize juu ya mwenza wako hakika jibu na uamuzi utaupata bila ya ushauri wa hapa.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
UWABATA tupo mbioni kukujengea sanamu
 
Well said [emoji1433]
 
Ungempeleka kwa bibi yake!Au Ndugu yako hapo atateseka tu!
 

Mbona amekurahisishia sana maamuzi sana kwamba yuko alivyo

Achana kujistress nenda kamchukue mama wa mtoto wako endeleeni na maisha.

Mtoto apate malezi bora ya baba na mama yake
 
Zidisha mapambano ya kutafuta pesa na ukishakuwa nazo nyingi atampenda tu mkuu.
 
Huyo sio mke,anasubiria tu ndoa huyo mtoto atapewa kisago cha paka mwizi
 
Mateso mnayompa huyo mtoto mjiandae kujibu kwa Mungu.
 
Mwanangu akae na mwanamke mwingine labda niwe nimekufa
 
Marioo unaonyesha Huna pesa
 
Mwanamke pekee atakayemlea mtoto kwa mapenzi mema ni mama yake tu

Wanaume sijui mmelogwa hamuelewagi hili
 
Kuna wanawake wana roho nzuri tu na wanaweza kukaa na mtoto wa kambo.Huyo mwanamke ana roho mbaya naturally na ikiwa mtoto wako ataishi maisha ya kuteseka duniani usidhani Mungu atakuacha katika hilo be wise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…