Wajameni ninae mpenzi wangu wa kike na nipo nae kwa takribani miaka miwili sasa na nategemea kufunga nae ndoa mwakani ila siku zote amekuwa akilalamika kwamba hapati raha ya mapenzi kabisa.
Na nimejaribu kweli kumchunguza na nimegundua kweli kwamba hisia zake zipo mbali sana za mapenzi na hata tuki do namuona kabisa kwamba ananiridhisha tu ila hapati raha yoyote.
Nampenda sana ila ninataka nimsaidie kupata ufumbuzi wa hili tatizo kwamba wataalum wa haya matatizo wanapatikana wapi na yeyote mwenye contact zao naomba msaada aokoe jahazi wadau.
Asanteni sana.