Babu mchumi
Member
- Jul 5, 2011
- 62
- 11
Masikio yake yatakuwa na hitilafu mnunulie Earphone!Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Hiyo ya masikio imetokea wapi tena huyu maelezo yake yanahusu pua.Masikio yake yatakuwa na hitilafu mnunulie Earphone!
Rudi kwenye maada kuu ...''mpenzi wangu hasikii..'' moja kati ya kazi za kiungo pua si kusikia ndiyo maana ushauri wangu nikauelekeza kwenye kiungo stahiki!Hiyo ya masikio imetokea wapi tena huyu maelezo yake yanahusu pua.
Ohoooo prof unajua maana ya toinyo?Huyo atakuwa "toinyo"
Mtu mwenye matatizo ya pua,unaweza ni rekebisha kama siko sahihi.Ohoooo prof unajua maana ya toinyo?
Hapana toinyo ni wale watu wanazaliwa midomo imechanika, lugha nyingine ni "mdomo sungura" hao ndio toinyoMtu mwenye matatizo ya pua,unaweza ni rekebisha kama siko sahihi.
[emoji106]Hapana toinyo ni wale watu wanazaliwa midomo imechanika, lugha nyingine ni "mdomo sungura" hao ndio toinyo
View attachment 531166
Ana Anosmia, ni dalili inayoashiria kuna matatizo kwenye Neva au ugonjwa wa Parkinsonism unamkaribia....aende hospitali akapimwe haraka sanaHabarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!
Amewahi kuwaona maspecialists wa ENT?Habarini The Great Thinkers!
Jaman nina mpenz wangu hasikii harufu ya kitu chochote,anadai hawajawai sikia harufu,tiba yake ni nini hii kitu,,msaada tafadhali maana anadai hiyo hali hapendezwi nayo!!