Mpenzi wangu hataki kuniruhusu niende nje ya Mkoa kiutafutaji

Mkuu mshukuru Mungu kwa kua na akiri iliyo na afya. Mwanamke (mpenzi) anaweza kukuua au kukujenga mimi nakushauri mkuu fanya plan nzuri ya wapi utafikia huo mkoa unahamia vizuri andaa usafiri alafu pack mizigo yako then andaa fungu la pesa mwachie mwambie aje akijisikia kuja ulipo hamia kama mwanaume lazima ufanye maamuzi wanawake wanapenda mwanaume jasiri
 
Heshima zenu wadau wa jukwaa hili.

Juzi niliandika thread iliyo kwenda na title ya uliwezaje kuachana na mpenzi wako uliye mpenda baada ya kutoa kisa
Haya mambo ya kung’ang’ania mapenzi nilishashindwa na ndoto zangu kidogo zife kwa sababu ya kuendekeza mapenzi,ninachokishauri wewe ondoka nenda katafute ukifanikiwa kama kweli ana kupenda hakuna mtu anayependa shida hapa duniani,kama kweli anakupenda na wewe unampenda basi mtakuja kuishi vyema huko mbele,hata kama hakupendi akishaona mafanikio mbona atahamia hukohuko uliko
 
Ni
Kweli kaka
 
Unaonekana umependa kinoma Yaani. Hongera mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…