mpenzi wangu kaharibika, msaada plz

mpenzi wangu kaharibika, msaada plz

msikivuTz

Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
68
Reaction score
407
jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!
 
Pole sana mkuu!Wasubili wataaramu watakuja!
 
Jaribu kuchanganya maziwa na asali asafishe uso usiku kabla ya kulala.
 
msikivuTz kwa nini unamruhusu mpenzi wako ajikoboe? binafsi sipo tayari kuona mpenzi wangu anajipiga brash kwa milotion ya ajabu ajabu mi mafuta ya mgando basii
 
Last edited by a moderator:
jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!
Mkamuone daktari wa ngozi atawasaidia, yupo dokta mmoja pale agha khan anakuwepo kuaniza mida ya 18-22hrs monday to friday.
 
Nenda kwa wataalamu wa ngozi...sasa anakaa ndani ndo atapona? Kitu Carolyt @work
Uwe unajaribu kumsifia...manake inawezekana uko kimya kila mkikutana, wakati anasikia wenzie wanavyomwagiwa misifa kibao- ndo maana akaamua kuchukua uamuzi mgumu.
 
mwambie aache kuitumia hiyo lotion.....
 
jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!

Kawaone madaktari wataalum wa ngozi, watakusadia. Pia waweza drop thread hii kwenye JF Doctors, pia wanaweza kukushauri vzr.
 
Better to consult a physician!..manake hapa utapata majibu mia kidogo.
 
Im sory for your wife
but you can get her the skin examination may be it's alegics
 
Kazi kweli kweli kashindwa kwenda kazini kisa vipele!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ajaribu kupaka nyanya usoni kabla ya kulala na kuisafisha asubuhi!!!
 
anaacha kwenda kazini kwa sababu ya kuharibika ngozi?acha utani kaka,labda kama kajiajiri,kama kaajiriwa,mbona ni vigumu?!
 
Back
Top Bottom