Pole sana mkuu!Wasubili wataaramu watakuja!jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!
Mkamuone daktari wa ngozi atawasaidia, yupo dokta mmoja pale agha khan anakuwepo kuaniza mida ya 18-22hrs monday to friday.jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!
jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza kuwashwa, kumea vipele vidogo vidogo na hivi sasa vimeenea uso mzima, hana raha, anashindwa hata kwenda kazini, je apake dawa gani viishe!
kaka umpendi mwenzio wewefanya kazi ya kuvitumbua hivyo vipele