anaacha kwenda kazini kwa sababu ya kuharibika ngozi?acha utani kaka,labda kama kajiajiri,kama kaajiriwa,mbona ni vigumu?!
msikivutz kwa nini unamruhusu mpenzi wako ajikoboe? Binafsi sipo tayari kuona mpenzi wangu anajipiga brash kwa milotion ya ajabu ajabu mi mafuta ya mgando basii
Hata kama ameajiriwa...Kwa ajira za serikalini hata usipoenda kazini wiki moja poa tuu...