Mpenzi wangu kaja kamkumbatia bodaboda, nikamtimua

Mpenzi wangu kaja kamkumbatia bodaboda, nikamtimua

baptiste

Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
92
Reaction score
157
Wadau,

Jana jioni tulipotoka job na washikaji tulikubaliana twende kwenye vichochoro vya upanga kupata moja moto moja baridi foleni ikiendelea kupungua, huku pia tukijadili kasi ya upasuaji majipu na mustakabali mzima wa taifa letu.

Tulipofunguliwa tu vinywajimsichana wangu wa IFM akanipigia simu kuniuliza nilipo, nikamwambia nipo upanga na washikaji, akauliza na mm nije? Nikajibu poa njoo, nilijua tu shida yake ni chips kuku

Akachukua Boda Boda, cha kushangaza kafika pale nyambizi akiwa amemngangania kwa kumkumbatia yule Boda Boda, nyonyo zote zipo kwenye mgongo wa yule Boda Boda, kama vile wapo kwenye mieleka (wrestling) nilighafilika sana, na kumtaka arudi na huyo Boda Boda na hela silipi.

Uamuzi huo uliungwa mkono na bar mzima, isipokua akina dada wawili waliodai huenda alikua anaogopa kuanguka ndio maana akamkumbatia vile, hapo hapo akaingia mama mtu mzima na Boda akiwa amekaa upright bila kumuegemea Boda boda ambapo wadau wote pale walitoa mfano kwa jinsi alivyokaa kwa adabu, baada ya kuombwa sana nikamlipa Boda akaondoka.

Hivi inakuaje msichana unashindwa kuji support mwenyewe hadi ukamuegemee Boda Boda? Kwanini mnakua wavivu kiasi hicho?Hivi mmewahi kutuona sisi tunawakumbatia Boda Boda? Au kuwaegemea? Yaani nyonyo napopatia furaha mm tu ww unaenda kuziegemeza kwenye mgongo wa Boda Boda?

Tutakuja kulaumiana bure, ndio matokeo yake unastukia umeachwa bila sababu kumbe ni mambo kama haya.

Nonsense
 
Hii ndiyo akili ya vijana wanaohonga binti zetu "chips kuku wa broiler"!!! You could have done better than that!!
 
Sasa kama sio mzoefu wa boda boda ataachaje kumkumbatia? Ulimuonea bana!
 
Nipe number za huyo demu nidhibitishe kama kuna ukweli wowote
 
Sisi madereva wa bodaboda tunahamasika sana tunavumilia tu
 
ila tumetofatiana sana, binafsi napenda kuwaona wadada wa mujini wanavokaa katika boda boda, huwa natamani Magu akitupunguza watumishi wa umma, niwe mjasiriamali dereva wa boda boda
 
Back
Top Bottom