Mpenzi wangu kaniletea jezi ya Brazil ila sijapendezwa nayo

ngebo

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
1,684
Reaction score
2,126
Hivi huyu shemeji yenu ana matatizo gani jamani? Hivi ingekuwa wewe ungepokea hii zawadi? Na sifahamu nimjibuje najiuliza hadi sasa.

 
Tumekupa cheo cha kuwa mwanachama mwandamizi wa chama chetu.

Onana na mwenyekiti akupe katiba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…