At least baada ya mwaka unatakiwa ume umemchumbia umvishe pete ya uchumba then mwaka m'moja na nusu unaofuata unaweza kuanza process za kufunga ndoa takatifu....Mahusiano yenye future unatakiwa kukaa muda gani?
Mwongeze mingine 7Mwaka wa tatu huu mkuu
Tatizo ni wewe alafu unatuuliza sisi tenaHabari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Namwingine anaoa akihofia kisu demu wake watu watamuwahi hivyo anaona bora afunge naye pingu za maishaHata walio oa/kuolewa hawana majibu ya kuridhisha kwanini wameoa
1. Wapo waliooa kwasababu ya shinikizo la wazazi, wapo wazazi wamekua wakiwalalamikia watoto zao kuwa umri unaenda wanataka wajukuu
2. Lipo kundi ambalo wameoa/kuolewa kwasababu wamekua wakiona watu wa rika zao wote wameoa hivyo wana inferior kuwa jamii inawaona kwa jicho baya
3. Wapo walio oa kwasababu ya mkumbo wamekuta jamii ikiishi katika utamaduni huo kua umri fulani ni lazima mtu awe ameoa/kuolewa
4. Na saizi wapo wanao oa kwasababu kesho ni mfungo, kundi hili la watu wamejiwekea udhaifu kwamba ni ngumu kuishi katika hicho kipindi bila kufanya ngono, na kufanya ngono ya bila ndoa katika kipindi hicho ni dhambi hivyo inamlazimu aoe ili kuhalalisha ngono
5. Wapo walio oa kwasababu ya uvivu wa kazi ndogo ndogo za nyumbani, hili ni kundi lenye watu wengi sana mpaka sasa. Hii inamaana kwamba watu hawa hawakuingia kwa nia madhubuti ya kifamilia/kindoa changamoto za kufua, kuisha vyombo, usafi kiujumla zimepelekea kufunga ndoa. Hapo utaona nafasi ya mke ni kama beki tatu
6. Lipo kundi la watu walioingia kwenye ndoa kutokana na "HOFU". Hili ni kundi ambalo ukiwauliza kwanini umeoa watakuambia "maisha bila mke ni risk sana kwasababu unaweza ukaumwa usiku ukakosa nguvu hata kushika simu ukashindwa hivyo bila mke waweza kufa"
7. Hawa ni wale walio oa baada ya kukutwa na hatia ya kuzini eidha alimpa mimba mwanamke kwa bahati mbaya hivyo ikamlazimu amuoe. Wapo pia wanawake watukutu waliogomea kwenye mageto ya masela kwa kuforce kuolewa
Siku ambayo watu watajua sababu ya msingi kwanini wanaoa kuna uwezekano tukadhibiti kwa kiasi fulani hii migogoro ya ndoa na idadi ya talaka
Babe mbona sisi tulikaa miaka 7?Miaka mitatu mmehitimu shahada ya nini?
Mahusiano yenye fyucha huwezi kukaa miaka yote hiyo.
Yupo sahihi.
Kwani....Kachoka kutumiwa na subira imemshinda bora aulize ajue moja
Volunteering inachosha mkuuHabari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Mpumbavu wewe
Mimi ni misogany lakini na uhuni wangu siwezi kaa na mtoto wa mtu kuanzia miezi mitatu mmoja unatosha siwezi potezea mtu muda kama si na nia ya kuoa
Fala sana we jamaa unagongwa na wachawi
Vipi mkuu we ni mtoa mada ?Dada una hasira sana, kwani unateseka?
Brooo angalia maisha yako wazuri wenye heshima na watamu kuliko yeyewapo wengi sana kama mishe zako hazijasetle tulia Tu maana ukiowa bila kutarajia utapata magumu kuliko Ayo anayotaka kuchukuaHabari za leo watanzania wenzangu?
Nimeshangaa tu jana usiku mpenzi wangu from nowhere kanitumia ujumbe kwenye simu kuwa, mwaka huu ukiisha kama sijamuoa, basi yeye atafanya maamuzi magumu na nisimlaumu kwa lolote.
Hapa nawaza, huyu ni kwamba sasa hivi ana mtu mwingine ndio maana ananipa hii ultimatum au tatizo nini?
Vipi mkuu we ni mtoa mada ?
Unakijua kichwa changu mkuu naona unataka kununua ugomvi wa hela yote mi nimevurugwa eti [emoji28] sioni ajabu kupoteza mda wangu kwa ajili ya mtu mmoja