Mpenzi wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki 8

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Jana mpenzi wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki 8 nikamuuliza wapi akaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akaniambia nimpe laki 4 na yeye ana laki 4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo home uchukue,

Mida ya saa 12 :30 kashafika nikampa laki 4 akaondoka kwenda kwao huku nyuma Mimi nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapa hapa ndo pa kumalizia mchezo fasta bila kupoteza muda nikampiga kabali ya maana na kuchukua laki 8 yote nikatokomea zangu.

Kufika home tu akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa na kibaka na kunyang'anywa hela yote nikamwambia arudi nije nimpe nyingine akaja nikampa laki 4 yake na mimi nikabaki na ya kwangu alafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho.

Masuala ya kurudishana nyuma kimaendeleo sipendagi laki 8 yote ununulie simu wakati Mimi mwenyewe simu ya laki 1 yenyewe sijawai kununua.
Sipendagi ujinga mimi.
 
Ulishindwa nn kumwambia huna au angekukaba mkuu hadi umpe
 
Kweli wanawake wanapaswa kuwa makini na wanaume wanaowakubali wawe wapenzi.
Wengine ni wakabaji wabobezi
 
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Jana demu wangu kanipigia simu na kuniambia ameibiwa simu yake ya laki8.
nikamuuliza wapi kaniambia ameibiwa mjini nikampa pole alafu akainiambia nimpe laki4 na yeye analaki4 akanunue simu nyingine nikamwambia njoo geto uchukue.

Mida ya saa 12:30 kashafika nikampa laki4 kaondoka kwenda kwao huku nyuma mm nikavaa mkoti mrefu na maski nikakimbia nikaenda kumsubiria mbele.

Kaja kafika kwenye kona moja hivi nikaona hapahapa ndo pakumalizia mchezo fasta bila kupoteza mdu nika mpiga kabari ya maana na kuchukua laki8 yote nikatokomea zangu kufika geto2 akanipigia simu huku akiwa analia nikamuuliza kulikoni akaniambia amekabwa nakibaka na kunyang'anywa hela yote, nikamwambia arudi nije nipe nyingine akaja nikampa laki4 yake na mimi nikabakia na yakwangu halafu akaniomba nimsindikize hadi kwao anahofia kukabwa tena nikamwambia alale ataenda kesho.

maswala yakurudisha maendeleo nyuma sipendg laki8 yote ununulie simu wakati mm mwenye simu ya laki1 yenyewe sijawahi kununua .

sipendagi ujinga mimi[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…