Mpenzi wangu kupata hedhi kila baada ya siku 17

ANDERSON YM

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
76
Reaction score
32
Habarini wanajamvi,

Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.

Ahsanten!
 
Pole sana mkuu, ngoja wataalamu waje kutupa somo.
1478775717950.jpg
 
Habarini wanajamvi,

Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.

Ahsanten!
mkuu ana umri gani
 
Alikuwa Zamani Anapata Siku 28 au Maisha Yake Yote Ni siku 17...??
 
Hilo Ni Tatizo la Hormonal Imbalance...
Kama Alikuwa Akitumia Contraceptive Pills, Injection Depo-Provera au Other Chemical Methods of Family Planning! Huenda ikawa Ndiyo Chanzo...

Kwahiyo Ushauri Wangu Amuone Daktari Haraka iwezekanavyo..
 
Incomplete menstrual circle husababishwa na hormonal imbalance kwa mujibu wa madakitari.
 
mku
Habarini wanajamvi,

Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.

Ahsanten!
mkuu ni pm tuongee kwani si kila irregular menses ni hormonal imbalance.
 
Hilo Ni Tatizo la Hormonal Imbalance...
Kama Alikuwa Akitumia Contraceptive Pills, Injection Depo-Provera au Other Chemical Methods of Family Planning! Huenda ikawa Ndiyo Chanzo...

Kwahiyo Ushauri Wangu Amuone Daktari Haraka iwezekanavyo..
Alikuwa anatumia mwaka mmoja uliopita sindano

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom