ANDERSON YM
Member
- Sep 5, 2016
- 76
- 32
mkuu ana umri ganiHabarini wanajamvi,
Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.
Ahsanten!
Alikuwa Zamani Anapata Siku 28 au Maisha Yake Yote Ni siku 17...??Habarini wanajamvi,
Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.
Ahsanten!
mkuu ni pm tuongee kwani si kila irregular menses ni hormonal imbalance.Habarini wanajamvi,
Nina tatizo moja nataka msaada kwa huyu mpenzi wangu ambae amekuwa akipata siku zake za mwezi kila baada ya siku 17 tofauti na kawaida yake ya siku 28. Naombeni kujua kwanini, imekuwa tatizo.
Ahsanten!
Zaman alikuwa 28Alikuwa Zamani Anapata Siku 28 au Maisha Yake Yote Ni siku 17...??
Alikuwa anatumia mwaka mmoja uliopita sindanoHilo Ni Tatizo la Hormonal Imbalance...
Kama Alikuwa Akitumia Contraceptive Pills, Injection Depo-Provera au Other Chemical Methods of Family Planning! Huenda ikawa Ndiyo Chanzo...
Kwahiyo Ushauri Wangu Amuone Daktari Haraka iwezekanavyo..
Kuna sababu Nyingi Inawezekana Ni Hormone Change.. Kabadili Chakula...Au kuna Shida Katika Mzunguko wake..
Hahaaaahaanamawazo sana msaidie kuwaza