Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
hapo bosi ameingia ubia,chagua kusuka au kunyoa.jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.nifanyeje nisaidieni wadau
duh pole san ahapo USIHISI NI UNAIBIWA.
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau
Tehee tehee tehee... Itetei Lya Kitee matatizo na mkeo hayaishi tu? mara mpenzi wako ana chuki na ndugu yako, mara safari na bosi wake zimezidi Tehee tehee tehee....Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau
Jamani nahisi naibiwa,mpenzi wangu amekua ana safari za kutia mashaka na bosi wake.
Yaani hata zile ambazo hazimhusu wanaenda pamoja,na wanaenda nje ya nchi.Nahisi naibiwa kwani zimezidi kua nyingi na za kujiuliza.Nifanyeje nisaidieni wadau
So GF is nobody eeeh?mzee kuwa makini katika hili...naomba unijuze yafuatayo
1.- ni mpenzi kwa maana ya gfriend au ni mke kwa maana ya kifo kiwatenganishe??
2.- yeye ni nani kwwa boss wake?..kama ni ps unataka iweje na hiyo ndio line yake ya kazi na ndizo taratibu za ajira yake?
3.- wewe na yeye mlijuana/kufahamiana vip..kabla hajapata hiyo ajira au baada ya kuwa na ajira yake?
kama ni gf tu na hamjaoana...fuatilia upate undani wa jambo hilo na uhakika...na ikigundulika kuwa ana uhusiano na boss wake FASTA MWAGILIE MBALI...maana hana sifa za kuwa mke wa ndoa.
kama ni goma na wewe unajipigia tuu...INSHALLAAH..halwaa haina makombo...endelea kumla na sahivi inabidi ujibu maswali ya section B ndio yenye marks nyingi..ahahahah...kijana naamini umenielewa...anza kumla goTi huduma iloboreshwa zaidi
kama ni mke na issue ni kifo kuwatenganisha...mwambie fasta apige kazi chini maana inahatarisha ndoa yako na yake pia
akishaacha ajira mwambie x-boss wake akae mbali na ndoa yako la sivyo utachofanya anajua mungu na madaktari bingwa...kuna sehemu inaitwa kwa msisi hapo tanga...kamuone huyo mzee msisi anamgeuza mshikaji anakuwa maji magumu watu wanamtafunia yeye anameza tu...haina tiba hiyo
NI MAONI TU WADAU
Anzisha Mahusino na Mke wa huyo "BOSI" - Hiyo inaitwa : Mwaga Ugali Nimwage Mboga - Play Safe though