Mpenzi wangu Ndyoko ndiyo ametumia hizi 'condom' sio mimi!


nina wasiwasi na hili jibu lako nadhani unawachezea wajinga lakini kwa mwerevu hujamdharau kiasi hicho,wewe ulishatolewa roho na wangapi?nyie ndo mnapotosha thamani ya penzi na kuigeuza mpira wa kona change your mind.
 
loh hadithi ya namna hiyo unafikiri wanawake wanaikubali basi? Ila tu wanaamua kupotezea.......aka kufa na tai shingoni

Kweli kabisa BADILI TABIA! Wakati wa uchumba Nimefumaniwa mara nyingi mno kwa ushahidi wa mazingira, lakini nilikuwa nachomoka kama ndyoko.

Ndimi Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Du kaka we mkali! unageuza hata kama kweli umefanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…