unaogopa nini sasa!
fungua multiple ID kwa jinsia zote na ukianzisha thread inayozungumzia tatizo lenu halisi unaishadidia mwenyewe kwa ID tofauti tofauti ili kum-confuse
Usijifanye mjanja unaweza kukuta naye alikuwa JF kitambo anakuchora tu...shauri yako....au ndiye yule aliyejiita Mrs Matumbo akilalamikia dada wa humu kwamba ni wezi wa waume za watu.Chunga mkuu
Zaman kabla mpenzi wangu bado kujiunga jf nilikuwa huru natoa masiri hata ya chumbani kwa niaba ya kutafuta solution humu jf.Na huwa anashangaa mimi kuwa bize na jf haswa jukwaa hili MMU juzi juzi kaamua kujiunga na yeye.NIMEJIKUTA NIMEPUNGUZA MZUKA WA KUPOST TATIZO LA KIMAPENZI LINALONISIBU au KUTUSIBU na sijui kama ameshajua au haijui ID yangu.NISAIDIENI JAMANI NTAWEZAJE KUONGEZA UHURU WANGU WA KUSHAMBULIA HILI JUKWAA NA JF KWA UJUMLA?