Mpenzi zaidi ya mmoja

Ila maisha sio fair kabisa, mie sina hata mmoja alafu kuna watu wanao zaidi ya mmoja!!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Una shida hizoooo 3
1. Huna pesa
2. Huna pesa
3. Huna pesa
 
Nimecheka kwa sauti.....
Ila maisha sio fair kabisa, mie sina hata mmoja alafu kuna watu wanao zaidi ya mmoja!!!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…