Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Mkuu mbona hujafafanua ni kwa mazingira gani mpenzio anakushushia heshima yako? Uchumi umeshuka ghafla? Umepata ugonjwa au ulemavu uliokusababishia kushindwa kumridhisha ktk unyumba? Amekuzidi kwa kipato, umri, elimu au kitu gani? Binafsi nashindwa kuchangia kwa hakika.Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....

Akikushushia heshima kwa namna hii:

"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"

Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au kumpiga chini!

Kujua kutukana nako kunadhihirisha picha nzima ya malezi!

Ni hayo tu...
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....Akikushushia heshima kwa namna hii:"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au kumpiga chini!Kujua kutukana nako kunadhihirisha picha nzima ya malezi!Ni hayo tu...
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....
Akikushushia heshima kwa namna hii:
"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"
Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au kumpiga chini!
Kujua kutukana nako kunadhihirisha picha nzima ya malezi!
Ni hayo tu...

Hayo ni matokeo

kuna kitu kilishavunjika siku nyingi hapo..

Mkuu mbona hujafafanua ni kwa mazingira gani mpenzio anakushushia heshima yako? Uchumi umeshuka ghafla? Umepata ugonjwa au ulemavu uliokusababishia kushindwa kumridhisha ktk unyumba? Amekuzidi kwa kipato, umri, elimu au kitu gani? Binafsi nashindwa kuchangia kwa hakika.

Ni vizuri kuepuka malumbano ya moja kwa moja (Dialogue), kwa maana sio kwamba itawashushieni wote heshima bali itaochoche ugomvi kuwa mkubwa zaidi. Wakati mwingine hutokea labda mtu aliyetoa maneno machafu kwa mwenzie amepata mghafiriko au amelewa hivyo ni kumsubiri hadi hasira zake au pombe iishe kwanza ndipo kuuliza ilikuaje mpaka akatoa maneno kama hayo. Kama mtu anaendelea na tabia kama hizo ni vizuri kumuepuka kabisa kuliko kuwa mnatukanana maana ukifanya hivyo utajikuta na wewe unakuwa na tabia zile zile za matusi.

kwenye malumbano chochote kinweza kutokea,ila mpaka kufikia hapo hadhi yako ishashuka kwa kweli!

mi sijaolewa sa sijui itakuwaje, ila nikiolewa nitajua

sasa mbona ushatoa jibu?

kukutukana,dharau na mizaha isiyokuwa na adabu vnatokana na malez/makuzi ya mtu

kumdunda si suluhisho...kaa naye kwa upendo na amani na umwelekeze kwa utaratibu m sure HATARUDIA tena kudharau au kukutukana.....

ukkimpiga haisadii..itakuwa ni sawasa na nikikutukana unanipiga then basi maisha yanaendelea...

kwa mfano;

umemkanyaga mtu kwa bahat mbaya afu ukashtuka dahh kumbe nimemkanyaga mtu ...ahhh wakat unataka tu kusema samahan ndugu yule jamaa akaanza ahh we ***** nini unankanyaga union...? we pumbavu nini?....NAMBIE VP APO APETITE YA KUSEMA SAMAHANI SIKUKUONA ITAKWEPO?..AS HUMAN BEING HALI ITAJISWCH AHH ASI USHANITUKANA SASA NKUOMBE MSAMAHA WA NIN...na apo pia km wew pia matusi yamejaa mtaendelea kutukanana...lakin km umemkanyaga na ukageuka ukaona anatabasamu/au anakwambia haina shda ..usijali...LAZIMA UTASEMA AHH POLE BWNA SIKUKUONA NDG YANGU...

usilipize ubaya kwa ubaya..iwe makusudi au umetendewa kwa bahat mbaya....
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....
Akikushushia heshima kwa namna hii:
"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"
Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au kumpiga chini!
Kujua kutukana nako kunadhihirisha picha nzima ya malezi!
Ni hayo tu...
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo....
Akikushushia heshima kwa namna hii:
"Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!"
Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au kumpiga chini!
Kujua kutukana nako kunadhihirisha picha nzima ya malezi!
Ni hayo tu...

Akikwambia kenge wewe, mwambie heh kumbe unalala na kenge. unachotakiwa ni kuboresha tusi lake tu usianzishe lingine...

Papa Mopao..Lugha ni makubaliano..hata kule kwa wazungu wanaitana "Nigga, dawg.etc." ni makubaliano... unaweza kwenda nyumba ya mtu ukasikia mtu anamwita mume wake "kalume kenge" ukataka kukimbia ..halafu kidogo ukasikia mme anajibu kwa upendo..na pozi la mahaba .."sema malaya wangu"..

Mabadiliko ya makubaliano ya lugha ndani ya nyumba ni mazao (result/outcome) ya vitu vingine ambavyo vilitakiwa kurekebishwa wakati huo.. cha kurekebisha sio lugha ila ni masuguano ambayo inavunja amani.... Kama mtarekebisha hayo mapungufu mengine basi hata lugha nayo kama ni mazao (outcome) nayo itabadilika.. Inaweza isiwe kama lugha ambayo jamii inavyotaka lakini..ni ile lugha ambayo inayokubaliwa ndani ya mipaka ya nyumba au mahusiano yenu..
yaani iyo ni stage mbaya sana katika mapenzi hapo kuna ugonjwa siku miingi sasa ndo umechipuka.yaani amekuchoka so heshima kushnei.cha kufanya kama ni mkeo/mumeo mvumilie muonye tu kwa upendo maana sio jambo zuri kabisa kama ni mpenzi mmmmmmmmmmh hana adabu mpenzi tu na matusi chagua kilicho jemaMpenzio/ Mumeo au Mkeo....