Mpesa Kutoka Kenya kuja Tanzania

Mpesa Kutoka Kenya kuja Tanzania

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
384
Reaction score
111
Habari wana jukwaa,
Je inawezekana kutuma pesa kutoka safaricom Mpesa kuja Vodacom Mpesa?

Naomba mwenye kujua anijuze.

NB: Nimejaribu kupiga simu Huduma kwa wateja vodacom lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa kuzungumza na mtoa huduma.
 
Inawezekana mkuu... kwani umejaribu kupiga huduma kwa wateja Safaricom??
 
Back
Top Bottom