Habarini wadau. Juzi nimepokea sms toka Vodacom kuwa nitakatwa tshs 300. Hii imekaaje jamani,kwani ni lazima tuwe tunatumia mpesa mara kwa mara ktk kufanya miamala yetu.?! SMS yenyewe hii hapa;
Utakatwa Tsh 300 kama gharama ya mwezi ya kutunza akaunti ya M-Pesa kutokana na kutotumia akaunti yako kwa siku 150 mfululizo. Asante.