Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
- Thread starter
-
- #21
zinatupa lakini ukituma hela kwa ntandao mwingine haitupi jina kabla!Kwani nyie mpesa yenu haiwapei jina la unakotuma, to confirm before hujatuma.
...nguvu nyingi saana tu.Hahaha. π Jamaa yetu kapoteza hela bana acha mzaha. Ila p#ssy ina nguvu sana zaidi ya sheitwan! π
pole bro. kufatilia hizo pesa zitakupotezea mda mwingi na pesa zaidi. chukulia ni kama umepeana sadaka na usahauacha upumba bana, hizi ni hela nilikuwa namrejeshea rafiki yangu alikuwa ananidai
Unapaswa kutoa malalamiko kwa vodacom, na ukimshitaki polisi atapatikana kirahisi tuAsante, makosa ni yangu manake sikuwa makini.
Taratibu za usajili zinafanana, hata Tz huwezi kusajili line ya simu kienyeji. Kwa kifupi huyo aliyepokea pesa anaweza kupatikana kirahisi sanaSafaricom wanaeka detail zote za mtu ukimtumia hela. Kenya huwezi nunua line rejareja bila I.D au passport. PIA ukimtumia mtu pesa kuna prompt ya delay ya kitu sekunde ishirini za kusimamisha shughuli yenyewe kama umekosea. Ukishindwa na hayo yote pesa ziende unatuma hiyo text ya Mpesa kwa 456 hapo hata pesa ziwe zimeingia kwenye simu ya mtu hawezi zitoa. Zinakuwa freezed kwa simu.
Mwambie yule uliyekuwa unamtumia akamshitaki mpokeaji kwa niaba yako, nawe utatakiwa kutoa ushahidinafikiria sana ili jambo la "instant money" tunabidi tuliangazie tena, voda/safcom wanabidi wafikirie sana....maoni yangu lakini.
Mkuu ndivyo ilivyo kwa voda unapotuma pesa Kenya hawakupi jina hadi utumeKwani nyie mpesa yenu haiwapei jina la unakotuma, to confirm before hujatuma.
Nitumie hizo namba pm nikufanyie kazi haraka, lkn unilinde mkuu. Njoo harakazinatupa lakini ukituma hela kwa ntandao mwingine haitupi jina kabla!
Dah, basi safaricom wazembe, effects of monopolizing the market, hakuna smart innovation.Mkuu ndivyo ilivyo kwa voda unapotuma pesa Kenya hawakupi jina hadi utume
ata ndivyo nimefikiria, nimeachana nazo , hali ya maisha.pole bro. kufatilia hizo pesa zitakupotezea mda mwingi na pesa zaidi. chukulia ni kama umepeana sadaka na usahau
voda wanasema ivyo, ila nimeona acha tu niachane nazo tu manake sitaki kumsumbua rafiki yangu tayari hana furaha nime mess tayari na vibaya zaidi ni kumpa kazi ya ziada.Mwambie yule uliyekuwa unamtumia akamshitaki mpokeaji kwa niaba yako, nawe utatakiwa kutoa ushahidi
Asante brother lakini hamna aja, nimeamua ikae ivyo tu. nimejipea moyo hela ni kidogo tu, uyu raia wa Iran amepoteza laki 750 za kenya, soma hapa chiniNitumie hizo namba pm nikufanyie kazi haraka, lkn unilinde mkuu. Njoo haraka
Hongera mkuu wa kuamua kumfadhili ndg yetuAsante brother lakini hamna aja, nimeamua ikae ivyo tu. nimejipea moyo hela ni kidogo tu, uyu raia wa Iran amepoteza laki 750 za kenya, soma hapa chini
Iranian says he lost Sh750,000 at JKIA
πππππ Duh! Nimejikuta nacheka hadi watu wananishangaa...next time ukitongoza mrembo mitandaoni,muulize hata angalau jina lake halisi lililoko kwenye kitambulisho kabla ya kumtumia tikiti. kuwa careful next time
Kwani Safaricom (Ke) siyo Vodacom (Tz)? Kwanini wasi-exchange informations as long as wote ni ndugu?...zinatupa lakini ukituma hela kwa ntandao mwingine haitupi jina kabla!
Ata wakimpata ata sema na mimi nilikua nategemea pesa kuingia so ilivyo ingia nikajua ndiyo hiyo nikaitumia!Unapaswa kutoa malalamiko kwa vodacom, na ukimshitaki polisi atapatikana kirahisi tu