Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 872
Wana JF, nimekuwa nikifwatilia kwa karibu hii biashara ya VODACOM ya kutuma hela kwa njia ya MPESA, kitu ambacho nimeshindwa kuelewa au kujua kama kipo ni swala zima la ukusanyaji wa kodi ya mapato kutoka kwenye wakala wote wa MPESA. Kimsingi, na endapo nitakuwa nimekosea naruhusu kukosolewa, ni
kwamba mpaka leo TRA imeshindwa kuweka systems in place za kukusanya kodi kutoka kwenye wakala wa MPESA.
Je, hii ni deliberate move au ni mpango wa mtu au ni uzembe tu wa TRA au ni vipi?
Mh Zitto kabwe juzi amezungumzia AIRTEL, je kamati yake hili hawajaliona au?
Wana JF naomba tulidadili hili.
hapa kazi ipo!kulipa kodi hakuwezi kukuondolea huduma hii,kinachotakiwa kodi ilipwe (kama hailipwi),kwa maelezo yako ni kama hakuna umuhimu wa kodi.Sijui huko kufuatilia kwa karibu una maanisha nini??? weka maelelezo hapa tuone ulivyofuatilia na sio kujibanza kipembeni kwa wakala au ni vipi? Uliza vigezo na masharti ya kuwa wakala wa Mpesa ndio utajua hiyo kodi ya TRA inapatikana vipi na sio kukurupuka na kutaka kuonyesha umma una machungu na nchi yako. Huduma ya Mpesa inatusaidia sana sisi wananchi, ni vyema hata kama hailipiwi kodi inayoenda kunufaisha mafisadi, wananchi tunafaidika kwa kupata huduma.
Sijui huko kufuatilia kwa karibu una maanisha nini??? weka maelelezo hapa tuone ulivyofuatilia na sio kujibanza kipembeni kwa wakala au ni vipi? Uliza vigezo na masharti ya kuwa wakala wa Mpesa ndio utajua hiyo kodi ya TRA inapatikana vipi na sio kukurupuka na kutaka kuonyesha umma una machungu na nchi yako. Huduma ya Mpesa inatusaidia sana sisi wananchi, ni vyema hata kama hailipiwi kodi inayoenda kunufaisha mafisadi, wananchi tunafaidika kwa kupata huduma.
Masaburi type...!!Sijui huko kufuatilia kwa karibu una maanisha nini??? weka maelelezo hapa tuone ulivyofuatilia na sio kujibanza kipembeni kwa wakala au ni vipi? Uliza vigezo na masharti ya kuwa wakala wa Mpesa ndio utajua hiyo kodi ya TRA inapatikana vipi na sio kukurupuka na kutaka kuonyesha umma una machungu na nchi yako. Huduma ya Mpesa inatusaidia sana sisi wananchi, ni vyema hata kama hailipiwi kodi inayoenda kunufaisha mafisadi, wananchi tunafaidika kwa kupata huduma.

Mi nauliza kwanini tunapofanya hizi transactions kwa m pesa hatupewi source documents eg receipt?

Mi nadani kuna aina mbili ya receipt, electronic au hard copy. Ile message unayoipata kwenye simu yako baada ya ku-conclude transaction ndio receipt yenyewea. Maana inakuwa na reference number.