slim beauty
Member
- Nov 18, 2015
- 70
- 19
Nikiwa nami,napeleka malalamiko yangu,mara nikamuona kaka,akiwa mstari wa mbele,pale vodacom kitengo cha BULK-IMT(international Money Transfer),kivumbi kilianza pale ambapo mlinzi hakumruhusu yeye mwenyewe kupeleka maelezo baadala yake,mlinzi akamuomba jina,nakumbuka jina la kwanza alikuwa anaitwa PAUL.
Mara mlinzi sio akapeleka hizo allegation za bwana PAUL,enh kinyume na maajabu bwana PAUL simu ikaita,kumbe jamaa wa IMT Vodacom,kaka akamuliza;kwa nini niongee na wewe na simu wakati niko hapa,kwa bahati nzuri aliweka roud speaker,maake walikuwa wawili yaonesha,yule wapili ndio alikuwa kama anasubiri ilepesa.
Mara yule bwan IMT vodacom,akasema taratibu ndio zinawafanya wasionane na wataje,bila ajizi yule kaka "PAUL" akaelaza,mnamo tarehe 17 November, 2015 usiku ambayo ni mchana Marekani,alitumiwa kiasi cha 406590.84-TZS kutoka kwa bwana mmoja aliyemtambulisha kwa jina la Anthony.
Anasema asubuh yake,ikiwa ni majira ya saa tatu alijaribu kutoa kiasi hicho ambacho,kinaonekana katika kikisoma kabisa kwenye muamala wa Mpesa wa Vodacom,kinyume na matarajio kila akijaribu kutoa pesa,pesa hiyo haikutoka.
Kama haitoshi akipiga simu huduma kwa wateja muda ule,ila "Customer Care" namba ya bure,kama ilivyokawaida,namba ile haikopekelewa,hivyo kuamua kupiga ile namba ya customer care ya kulipia, na hapo ndio kupokelewa,nilifanikiwa kuwaeleza tatizo langu na kuniambia itakuwa confirmed hiyo pesa muda sio mfupi na ndio hapo utaweza kuitoa.
Nikavuta subra,mara kimya;nikaendelea hivyo kupiga nikiongea na wahudumu tofauti kwa mara nne.
Ilipofika saa sita mchana,nikapiga simu kwa mara ya tano,nikaongea na dada mmoja aliyeongea kwa nyodo na majivuno,na hapo nilishakuwa mkali maake nilishapiga simu hizo kwa pesa yangu na bado na subirishwa,na huyo dada anakuja nijibu kwa jeuri,
Huyo dada jeuri akadai nisubir masaa 24 ndio itakuwa activated hiyo pesa!
kaka bila ajizi akasubiri pesa ifikishe masaa 24,ambayo ndio kesho,bado ikawa bila bila yale yale.."Tuko kwenye mchakato" kaka akaona aje Vodacom Pale Mliman City,pale anadai alikutana na kaka mmoja mkarimu,aliyeweka nia ya dhati ya kumsaidia ila ikawa anapiga simu za wahusika baada ya kuona email haizai matunda,lakin simu zote alizopiga yule kaka kama namba za watu watano hivi hazi kupokelewa!
kaka akanisii niwe nasubira maake hapo nilishafika asubuh na kurudi tena saa kumi ambayo ndio hiyo haikuwa na mafanikio.
Bila ajizi leo tarehe 20,ndio kaka akaibuka pale jengo la Customer Care Mliman City main offices,nakupewa majibu kwa simu na kuishia kwa mlinzi..nilipokuwa pale wazi nikaona kama wadau wanataka mlalia hiyo pesa,maake jamaa ana hadi email inayo onesha kule marekan western union pesa wametuma tayar na waisha confirm.
Vodacom Tanzania [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Vodacom]#Vodacom Tanzania[/URL] #Vodacom mpesa #Mpesa.
Hawajamaa sasa mimi na waogopa!!

Last edited by a moderator: