Elections 2010 Mpesya umepata fundisho!

Sagao

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
10
Reaction score
5
Kwa hakika Mpesya umepata fundisho kubwa sana, kitendo cha kuwafanya wapiga kura wa jimbo la mbeya wajinga umefika kikomo, ulisema Sugu ni muhuni mtoto wa mama lakini tambua kuwa wana Mbeya wanakuona wewe ndo muhuni kwa kutotimiza ahadi zako na kujali maslahi yako binafsi. Kama sugu alikuwa mwanafunzi wako basi tambua utakuwa na mengi ya kujifunza toka kwake. Hili liwe fundisho kwa wote wenye tabia za kuwabeza wapiga kura wao! HONGERA WANA MBEYA KWA KUFANYA MABADILIKO, CHADEMA HOYEEEE!
 
Huyo Mkuu wa Mkoa analinda ugali wake..............ni vyema tukaanza kuangalia namna ya kuwapata wakuu wa mikoa kwa utaratibu wa kuwachagua badala ya Raisi kuwateua ili kuondokana na uwajibikaji feki kama huu wa Mpesya anayekazana kumfurahisha JK kulinda ugali wake mnono...........
 
Yuuup!
Hii itaondoa kuchaguana kwa ushikaji na uswahiba!
I cant believe Mpesya kumwambia SUGU kuwa hafai kisa eti alikuwa mwanafunzi wake, na alikuwa mhuni!
Kama yeye hakupitia hatua hizo utotoni basi yuko incomplete!..fyeeeeeee!
 
Mkuu wa mkoa ni mpesya au mwakipesile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…