mpezi wa zamani anajirudi

please help me?

  • 1

    Votes: 1 100.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 0 0.0%
  • 4

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .

Loreen

Senior Member
Joined
Dec 24, 2011
Posts
110
Reaction score
32
habari zenu wana jf,ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila ikaja ikatokea amepunguza mapenzi kwangu,baadae nikagundua kuwa anatoka na msichana mwingine kwa siri na hakutaka nifahamu .cku moja nikamweleza akastuka na kukana kuwa atembei nae,baada ya kujua nimefahamu akakata mawasiliano kabisa na cm akawa hapokei.niliumia sn coz nampenda na siku taka kumpoteza kwa kipindi kile.nikakaa kama mwaka nikiogopa kuingia kwenye mausiano mengine,na nikijua labda atajirekebisha,baadae nikaamua kuwa na m2 mwingine ,ila amenifuata anataka turudiane tena nifanyaje?asanteni:lol:
 
huyo uliyenaye sasa hivi hakupendi au ana kibamia?
 
Huyo mtu mwingine mahusiano yenu ni ya matarajio gani, au ni mambo ya kusaidiana kulipa bili za Startimes?
Je yeye kaachana na mtu wake mojakwa moja?
 
Hiyo Poll mbona haieleweki...
Hizo namba definition yake nini?
Kawaida poll ya aina hiyo inatakiwa iwe na very simple language, na self expressing!
 
ameniambia ameachana nae kabisa! wa sasa ananipenda ila tatizo ni kwamba ninamkumbuka sn wa zamani
 
miaka ishirini na nne.kwanini kongosho?
 
A bird in hand is worth thousand in the bush
 
tatizo wadada wanapenda kudanganyika jani likiashadondoka halirudi tena mtini shosti anataka kukumega tena asepe for good
kuwa makini na ulie nae ohooo
 
Loreen kupata mtu ambae mwapendana kweli kwa dhati ni kazi saana, siku hizi couple nyingi ni za kudanganyana na wale ambao wapenda wakuta mapenzi ni upande mmoja. Kama ni kweli umeona kua kajirudi kwako na una hakika kua hana mtu mwingine nawe kamba bado wampenda, sioni ni nini ambacho cha kuogofya kurudiana... Unless otherwise kuna mbaya alikufanyia ambayo ilikua ya kukukanamiza.


BTW Loreen hio poll sijaipata kwa kweli hapo nimeshindwa shiriki vizuri, na siku nyingine case kama hii (for yaonesha ni serious) chagua an appropriate smiley for hio ulichagua imeishia kicheko.... Na sioni kama it is a laughing matter.... Best of Luck.
 
mbaya zaidi nilie nae anataka kuja hom
 
mbaya zaidi nilie nae anataka kuja hom
mbaya tena,sikiliza wewe mtoto tulia na mwanaume ulie naye, yaani mtu akuache aje akurudie wewe? huyo kijana anataka tu kukumega maana kwa sasa ameachwa hana sehemu ya raisi ya kupoozeshwa kiu yake. sasa kwa vile umeamua kudanganyika na anaetaka kuja home unamuona mbaya ni maamuzi yako.usituchoshe hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…