mpezi wa zamani anajirudi

please help me?

  • 1

    Votes: 1 100.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 0 0.0%
  • 4

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .
mastercard ya nini pakajimmy?
 

Home is where your heart is, sasa tafakari where your heart is and follow it. That is what life is about, getting hurt, taking risks, learning from mistakes, making over and above all, happiness.
 
Hebu jiulize amekuwa na wewe anakuacha for another girl, amejirusha huko sijui akagundulika kuwa sio mwanifu au hana mwelekeo akaamua kuja kwako tena, huyo sio mwaminifu katika mapenzi! Mbaya zaidi ukukaa kwenye ndoa ndio atakuchoka zaidi. Kama ulie nae kwa sasa anakidhi minimum requirement zako pls achana na huyo kiruka njia utakuja juta bure!
 
Usijitese kama umempenda wa zamani mpe tu alicho penda na wewe upat eulicho penda ngoma draw-na huyu wa sasa uendelee kumpa kama kuna mbaramwezi.
 
huku wataka na kule wataka yote utakosa
We si mgonjwa?...unafanya nini mtandaoni badala ya kushikamana na kitanda?...au kwa vile kuna Klorokwini na Asprini na Fellow-Tablet hapa?
Pole lakini mwaya!
 
huyo ulienae sasa humpendi? Miaka 24 unashindwa kugundua kuwa x wako hana ishu?

Ila hiyo poll ya kichina nimeipenda
 
mwaka mzima ndo anajileta? kasahau nini? lakini inaonekana huko kwa mwengine ni kupoteza mawazo tu hukuwa serious, duh! yani bado unampenda? kila mtu na moyo wake shoga, penda unapopendwa mwenzangu.
 
end this relation now!
Unampotezea muda huyu kijana, weye bado hujakaa kikutulia

kama kijana kuja kwenu unaona ni bahati mbaya?!
mbaya zaidi? khaaa ujue vijana maplayer ni wazuri sana kwenye malavidavi sijui ni kwa sababu ya kucheza gemu muda mwingi na viwanja tofauti nadhani amefanya comparison kwenye icho kipengele
 
mbaya zaidi? khaaa ujue vijana maplayer ni wazuri sana kwenye malavidavi sijui ni kwa sababu ya kucheza gemu muda mwingi na viwanja tofauti nadhani amefanya comparison kwenye icho kipengele
Hapo umeongea baby.
 
Kwa nini Poll yako inazo items 4 wakati umezungumzia wapenzi wawili?
Hata kama ulikusudia tukupe mawazo juu ya wewe kumkubali au kumkataa huyo muasi, items 2 au YES na NO zingetosha
 
Kwa maana moja au nyengine wewe kwake unakua toy akitaka kukuchezea anakutoa hamu ikisha anatupa store,ebu jikaze kike achana na hicho kituko, hakuthamini penzi lako leo ndio kakumbuka zabibu?
 
asanteni kwa ushauri wenu atleast nimefunguka akili.
 
mwache acheze cheze, akija kushtuka ishafika saa kumi atatia akili

mbaya zaidi? khaaa ujue vijana maplayer ni wazuri sana kwenye malavidavi sijui ni kwa sababu ya kucheza gemu muda mwingi na viwanja tofauti nadhani amefanya comparison kwenye icho kipengele
 
end this relation now!
Unampotezea muda huyu kijana, weye bado hujakaa kikutulia

kama kijana kuja kwenu unaona ni bahati mbaya?!

Huyu madam hajajitambua bado..inaelekea alianza uhusiano na huyu jamaa mpya kwa lengo la kumsahau yule X...#Mbaya sana. Kuliko kumpotezea jamaa muda bora u-step back...
 
nataka ndoa!
Huyo jamaa mpya mpaka anataka kuja nyumbani kwenu si ina maana anataka kujitambulisha ili process za msingi zianze...au hujaridhia awe mumeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…