Mpiga bass guitar anahitajika haraka Zanzibar

Mpiga bass guitar anahitajika haraka Zanzibar

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo.

Atakaeridhia kwa hiyo bei tuwasiliane.

0679478758/0624078758
 
Back
Top Bottom