Hiyo Tafsiri ya TLP haileti maana. Nawaza ya kwamba hakuna chama cha maana hapo. Wote wezi tu!
Chaguo ni lako....
1.CHADEMA = (Chagua Dezo na Mali)
2.TLP = (Tuo Lina Pumziko)
3.UDP = (Ujinga Daima Punguzeni)
4.CUF = (Chagua Udini na Fadhila)
5.DP = (Daima Pinga)
6.NCCR = (Nunua Chako, Chetu Rudisha)
7.CCM = (Chetu Cha Mababu)
8. Ongezea vilivyokosekana na masahihisho ruksa
MkuuVangi ana matatizo huyu kazi yake ni kushambulia tu . Ana posts sijui 10 lakini kila mahali yeye kama TLP shame