figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa kupigwa viboko. so wale wateja wa kule hakikisha unaenda na change kabisa la sivyo kesho yake watu watakushangaa ulivyo na ngeu mwili mzima. kuna jamaa wawili wameshughulikiwa juzi na jana. ni hayo tu washikaji. Mia