figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa kupigwa viboko. so wale wateja wa kule hakikisha unaenda na change kabisa la sivyo kesho yake watu watakushangaa ulivyo na ngeu mwili mzima. kuna jamaa wawili wameshughulikiwa juzi na jana. ni hayo tu washikaji. Mia
usiniambie mzee wa mia
Mzee wa jiti, umejuaje washikaji hao juu ni wateja? Pili kwa nini na wewe tusiamini ni mteja?
wenye ndoa zetu walaaa, hayatuhusu
jana nilipita pale maeneo niakuta jamaa anakong'otwa. kisa kachoma but kakosa hela ya kulipa. Mia
Umejuaje figga? Na wewe pia ni mteja wa WAJASIRIAMWILI.Miawale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa kupigwa viboko. so wale wateja wa kule hakikisha unaenda na change kabisa la sivyo kesho yake watu watakushangaa ulivyo na ngeu mwili mzima. kuna jamaa wawili wameshughulikiwa juzi na jana. ni hayo tu washikaji. Mia
inahusu sana mkuu. kwani wewe huwa hubadilishi mboga? Mia
Mzee wa jiti, ukikutana na wanasheria wanaopenda ligi akasema ' umesema ulipita pale na kukuta mtu kachoma but kakosa hela ya kulipa' utalithibitishiaje jukwaa kwamba hukuwa wewe? Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!
haki ya Mungu. jamaa wamechachamaa kweli yaani ni noumer. Mia
wale viumbe wanao jiuza usiku wamegundua style mpya. baada ya wateja wao kuwakimbia mala kwa mala, sasa hivi wameamua kuwaajiri wamasai. kama unashindwa kulipa wamasai wanakushughulikia kwa kupigwa viboko. so wale wateja wa kule hakikisha unaenda na change kabisa la sivyo kesho yake watu watakushangaa ulivyo na ngeu mwili mzima. kuna jamaa wawili wameshughulikiwa juzi na jana. ni hayo tu washikaji. Mia
Mkuu sio mimi. sema baada ya wale wamasai kuwauliza ndo wakasema kwa lafudhi ya kimasai "Huyu anajifanya mjanja, hataki kulipia huduma". nikashangaa. Mia
Kaaazi kweli kweli.