mpigaji, bujibuji, popobawa, mchwechele, jimbi na wengine kaeni chonjo

We kweli ni Bazazi,u muumini wa dini gani wewe?
 
Hata kama ndiyo Ohiooooo? Mia.

hahahaaa...!!. Mkuu wale wa ohio ni noumer, usijaribu tena. hawakawii kukutelekeze kwenye ufukwe wa ocean road. wale wamefuga kucha ndefu za kufichia madawa ya kukufanya ulewe na kupoteza fahamu. anakugusa gusa mala akuguse masikioni, puani kumbe anakupakaza madawa. kesho asubuhi watakuokota pale beach ukiwa uchi. sijui utamwambiaje wife. Mia
 
jamaani mimi sasa hivi nmeokoka. ila nawapa tahadhari wana jf wenzango ambao damu bado inachemka. Mia

Kwa hiyo hao unaowapa taarifa ulikuwa nao pamoja katika ishu za bluetooth sasa hv umeacha wao bado wanaendeleza?halafu nimekuuliza ni kiwanja kipi cha wajasiriamwili wanalindwa na wamasai?
 
Ni wajasiriamwili wa wapi wamechachamaa hivyo? Wa buguruni kimboka au corner bar?

ni wale wa kinondoni na temeke. mimi nafikili ndo wale wale wanazunguka. akiona temeke kachokwa anaenda kino, akiona amechokwa anaenda buguruni. haiwezekani wawe na style moja ndani ya wiki mbili. mwaka jana haya hayakuwepo. Mia
 
Kijana unaonekana unauzoefu wa kufa mtu,duh
 
FN Kuna swali umeulizwa na Losambo hapo juu hujajibu ! Kwamba hao makamanda uliowataja umewajuaje kua ni wateja ?

mkuu wanafahamika. hata ukikutana naye tuu mchana utajua. isitoshe ilinibidi kusimame kuuliza maswali mawili matatu ndo nikaambiwa hivyo. Mia
 
ni wale wa kinondoni na temeke. mimi nafikili ndo wale wale wanazunguka. akiona temeke kachokwa anaenda kino, akiona amechokwa anaenda buguruni. haiwezekani wawe na style moja ndani ya wiki mbili. mwaka jana haya hayakuwepo. Mia

Katika vijiwe vyooooote buguruni kimboka na sewa bar ni mwisho. Wengi wa watoto wa uswazi mitaa iliyochoka kijiwe chao ni buguruni, wanaotoka buguruni malapa,madenge,vingunguti,kigogo,tbt kisiwani,bibo relini,temeke,goms etc center ni pale,biashara ya kujipanga inaaanza saa mbili usiku,na panaongoza na kuwa na watoto wadogo under 18.yaani ukitaka kuona dunia au nchi imeharibika nenda pale utashuhudia hadi vitoto vya miaka12 vinapiga kazi.pale hapakosekani wajasiriamwili 50 to 70 siku za kawaida na mpka 100 siku za wknd,hapo hujipanga mpaka kule kituon sheli
 
Kwa hiyo hao unaowapa taarifa ulikuwa nao pamoja katika ishu za bluetooth sasa hv umeacha wao bado wanaendeleza?halafu nimekuuliza ni kiwanja kipi cha wajasiriamwili wanalindwa na wamasai?

pale mtaa wa sudan Temeke. kuingia tu unaruhusiwa na mmasai. Mkuu Mimi hayo mambo siyajui. nimekwambieni muulizeni popobawa mpigaji na jimbi. samahani sana. ujue humu jf nimewekewa mitego. Mia
 
Naskia bujibuji huwa anaomba na risiti kabisa baada ya kulipa,ni kweli rafiki angu?
 
Naskia bujibuji huwa anaomba na risiti kabisa baada ya kulipa,ni kweli rafiki angu?

mi mwenyewe bujibuji ndivyo aliniambia. mtu ambaye nilishamuona na listi ni popobawa. naamini akija atawaelezeni vizuri. Mia
 
he he he he da mbona mambo yanakuwa magumu sasa....
 
Haaaaah naona nimedandia gari kwa mbele ila kama ni hivyo ni noma!!!!!
 
Kama ni hivyo ni changamoto kuzienzi ndoa zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…