kwani nyinyi mlivyotoka huko na elimu yote mpaka sasa mnaingia chuo, mlikuwa hamjagundua watu waliokuwa wakijiita majina kama hayo wakijifanya wasongo wa shule ndo wa kwanza kusanda kwenye matokeo! hahaha labda kapangiwa data star college. wale wa UDOM salimieni sana mlacha mwambieni aache ujinga wake, mpeni habari kuwa ninajiunga jwtz na ni lazima nimtafute nimtoe show nikitoka munduli. ELIA JOHN,CHAYA,YUSILIDA,KILONZO NK HAYA NI BAADHI YA MAJINA YA WALIMU WATATA KWA COURSE MBALIMBALI. be prepared, mimi nilishatoka huko tangia 2011. masomo meme wakuu